AyoTV

VIDEO: ‘Wanawake wanapoteza maisha, tunaomba wasaidiwe’ –Mbunge Msongozi

on

Wabunge wameendela kuchangia bajeti ya Wizara ya ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ambapo kati ya waliopata nafasi ya kusimama na kutoa maoni yao ni pamoja na Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi ambaye aliitaka serikali kutenga pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Ruvuma.

VIDEO: Alichokiongea Halima Mdee baada ya kukiri kumtukana Spika 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments