Habari za Mastaa

Good News: Mtanzania Vanessa Mdee katajwa kuwania tuzo za Nigeria Entertainment

on

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kutajwa katika moja kati ya tuzo kubwa Nigeria Entertainment, Vanessa ametajwa kuwania tuzo zinazoitwa Nigeria Entertainment Awards.

Jina la muimbaji Vanessa Mdee limetajwa katika kipengele cha kuwania tuzo ya muimbaji bora wa kike, katika kipengele hicho Vanessa anawania tuzo hiyo na wasanii wengine saba kutoka nchi mbalimbali, Nigeria Entertainment Awards zitafanyika New York Marekani, September 4 2016.

adaa

Waliotajwa kuwania tuzo hiz katika kipengele cha msanii bora wa kike ni Efya wa Ghana, Lira wa South Africa, MZ  Vee wa Ghana, Sheebah wa Uganda, Knowless wa Rwanda, Victoria Kimani wa Kenya, Adiouza na Vanessa Mdee wa  Tanzania.

KAMA ULIIKOSA HII SHOW YA SHILOLE NA VANESSA MDEE BILZ

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments