Ad

Habari za Mastaa

TRACE TV wanasema wiki hii hizi ndio video 8 kali Afrika, Watanzania ni wawili tu

on

Unakutanishwa na video 8 kali za muziki Afrika kwa wiki hii kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Kenya, Tanzania, South Africa na Nigeria.

8. SAUTI SOL x MI CASA – TULALE FOFOFO imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Apr 25, 2016 na kutazamwa mara 194,223

7.Lagos To Kampala -Run Town ft. Wizkid imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Mar 29, 2016na kutazamwa mara 841,594

6.Olamide – Abule Sowo  imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Mar 21, 2016 na kutazamwa mara 948,056

5. Sauti Sol and Alikiba (Mtanzania) – Unconditionally imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Mar 10, 2016 na kutazamwa mara 1,761,491

4. Falz – Soldier  imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Apr 6, 2016 na kutazamwa mara 162,534

3. Vanessa Mdee – Niroge (Mtanzania) imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Mar 24, 2016 na kutazamwa mara 610,366

2. OSINACHI (Remix) – Humblesmith ft. Davido imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Jan 31, 2016 na kutazamwa mara 1,704,033

  1. Patoranking – Another Level imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Feb 6, 2016 na kutazamwa mara 1,704,033

ULIIKOSA HII YA WATOTO WA KITANZANIA WALIVYOCHEZA MBELE YA VANESSA MDEE ALITAFUTA DANCERS? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments