AyoTV

Video: Sababu za Vanessa Mdee kutoa machozi kwenye party ya Wema Sepetu

on

V Money au Vanessa Mdee alikua miongoni mwa mastaa wa Tanzania walioalikwa kwenye party ya birthday ya Wema Sepetu jumapili ya November 2 2015 lakini ghafla katikati ya party akaanza kutoa machozi, tazama hapa chini ilivyokua…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments