Habari za Mastaa

Vanessa alivyompagawisha Gigy wakati akiimba wimbo wa Moyo ( +video )

on

Usiku wa kuamkia leo mwimbaji Vanessa Mdee alikua amealikwa kwenye party ya Desperados ambapo alipanda kwenye stage na kuimba hit song yake ‘Moyo’ ndipo msanii Gigy Money aliposhindwa kuvumilia ikabidi achukue mic kwa Vanessa na kuanza kuimba naye.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video ilivyokuwa.

VIDEO: SHANGWE MWANZO MWISHO CHIDI BENZI NA MASHABIKI WAKE DSM

Soma na hizi

Tupia Comments