AyoTV

VIDEO: Nimeyanasa magoli yote ya Simba vs Coastal Union kwenye video, Full Time 1-2

on

Jumatatu ya April 11 2016 klabu ya Simba ilicheza mchezo wake wa robo fainali ya Kombe la FA dhidi ya klabu ya Coastal Union ya Tanga, katika mchezo huo Simba walipoteza mchezo kwa kufungwa jumla ya goli 2-1, Magoli ya Coastal yalifungwa na Youssouf Sabo dakika ya 20 na 85 wakati goli pekee la Simba lilifungwa dakika ya 5 na Hamis Kiiza.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIYAKOSA MAGOLI YA MECHI YA YANGA VS AL AHLY, FULL TIME 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments