Michezo

Valencia yamfukuza Kocha

on

Club ya Valencia ya Hispania imeamua kumfuta kazi kocha wao Albert Celades ,44, baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo mabovu.

Valencia imepata ushindi game 2 kati ya 13 zilizopita za mashindano yote sambamba na kutolewa UEFA Champions Leaguea hatua ya 16 bora dhidi ya Atalanta.

Soma na hizi

Tupia Comments