Top Stories

Valentine’s Day chanzo Padri kuuawa, Mtoto wa Mkuu wa Gereza kampenda mfungwa, Mabilioni yahongwa (+video)

on

Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine’s Day).

Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo alikuwapo Padri Valentine ambaye akaja kuheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe hiyo.

Hadithi zilizosababisha sikukuu kuenea zaidi duniani kote.

TANGA UKIINGIA VALENTINE’S KUTOKA MAJAALIWA, JE SAHIHI MWANAUME KUPEWA ZAWADI?

Soma na hizi

Tupia Comments