on air with millardayo

#VIDEO: Kwa mara ya kwanza Vanessa Mdee kaongea kuhusu beef na Shilole

on

Baada ya kuwepo kwa taarifa zilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana beef, ukweli umejulikana, OnAIRwithMillardAyo imempata Vanessa amezungumzia beef hiyo’…….

>>>’Shilole alikuwa ameongea kwamba ni mrembo kuliko msichana yeyote kwenye bongo fleva,  nasikia mashabiki wakaibeba wakasema hakuna wa kulinganishwa na V, baada ya kuona watu wanatengeneza kama shindano akanieleza alikuwa anatania lakini mimi sikuchulia serious na nilikuwa nimesahau kabisa’

>>>’tulivyokuwa tumekaa tukawa tunajadili industry yetu jinsi gani watu wako tayari kugombanisha watu badala ya kusupport’:-Vanessa Mdee

ULIKOSA HII YA SHILOLE NA VANESSA WALIPOKUTANA KWENYE SATAGE CLUB BILLCANAS? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments