AyoTV

VIDEO: Polisi DSM wameongea kuhusu kukamatwa kwa Vanessa Mdee

on

Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo March 10 2017 amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu zoezi linaloendelea la ukamataji wa watuhumiwa wa dawa za kulevya ambapo amethibitisha kuwa wamemkamata mwimbaji Vanessa Mdee ni baada ya kutajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa DSM, Paul Makonda, Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

Nilichomuuliza Vanessa Mdee baada ya kusikia katajwa kwenye list ya Makonda’– Mimi Mars, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments