Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

AyoTV

Ni time ya @VanessaMdee na dancers wake kwenye stage ya FIESTA 2014 Mwanza. (picha 5 na video)

on

Vanessa 5Naona staa mwingine ambae wengi wanatamani awepo kwenye kila jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 linalopita kwenye mikoa 18 ambapo baada ya Mwanza weekend iliyopita ya August 9 2014, ni zamu ya Bukoba weekend hii.

Ndani ya muda mfupi ujao chini kabisa kwenye hii post kutakua na video ya Vanessa Mdee akiperform hit single yake ya ‘closer’

Vanessa 3

vanessa 4

Vanessa 2

Vanessa 1

 

Tazama V Money akiifanya ‘closer’ kwenye stage ya Serengeti Fiesta 2014 Mwanza kwa kubonyeza play hapa chini

 

Kuwa Mwanafamilia wa millardayo.com na utumiwe kila stori inayonifikia kwa kubonyeza hapa >> Twitter Instagram na Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments