Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Louis van Gaal hajaridhishwa na kasi ya mawinga wa Man United, hawa ni nyota watano anaotajwa kuwasajili …
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Louis van Gaal hajaridhishwa na kasi ya mawinga wa Man United, hawa ni nyota watano anaotajwa kuwasajili …
Sports

Louis van Gaal hajaridhishwa na kasi ya mawinga wa Man United, hawa ni nyota watano anaotajwa kuwasajili …

November 9, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Presha ya mechi za Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016 imefanya vilabu kadhaa kuanza kuingia katika mipango ya kufanya usajili wa wachezaji licha ya kuwa dirisha dogo la usajili bado halijafunguliwa. Klabu yenye presha kuliko zote ni klabu ya Chelsea ila klabu ya Manchester United ikiwa chini ya Louis van Gaal imeshaanza kuhusishwa na mastaa watano tofauti.

Kocha wa Man United Louis van Gaal ambaye anataka timu yake ifanye mashambulizi kwa kasi na kuongeza idadi ya magoli, Van Gaal ameongea kauli kuhusu mwenendo wa kikosi chake na kukiri kuwa bado kikosi chake hakina kasi anayoitaka na kuwatolea mifano Juan Mata na Jesse Lingard.

Manchester-United-v-West-Brom

“Nilishazungumza mara kadhaa katika mwaka wangu wa kwanza nikijiunga na Man United kuwa nahitaji kikosi kicheze kwa kasi na ubunifu katika nafasi za winga, umeona kwa sasa tunacheza na  Jesse Lingard lakini sio miongoni mwa mawinga wenye kasi zaidi duniani lakini pia Juan Mata” >>> Louis van Gaal

Hata hivyo stori kutoka mtandao wa mirror.co.uk umetaja majina matano ya wachezaji ambao huenda wakasajiliwa na Man United, miongoni mwa majina hayo yanayotajwa kusajiliwa katika dirisha dogo la usajili, majina yanayotajwa ni kusajiliwa na Van Gaal ni Sadio Mane kutoka Southampton, Riyad Mahrez kutoka Leicester, Alex Teixeira kutoka Shakhtar Donetsk, Karim Bellarabi kutoka Bayer Leverkusen na Felipe Anderson kutoka Lazio.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

You Might Also Like

Imani Kajula CEO mpya Simba SC

Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal

Live: Ally Kamwe akabidhiwa simu ya gharama na Rais wa Yanga Eng.Hersi

Arsenal yamsajili Trossard

Usain Bolt atapeliwa Bilioni 29, fahamu mapya yaliyoibuka

Rama Mwelondo TZA November 9, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Vijue baadhi ya vitu ambavyo mastaa wangependa kuwa navyo, ndani yupo Wizkid na wengine!
Next Article Video: Kilichomkasirisha Rais Magufuli November 9 mpaka akafikia haya maamuzi.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?