Top Stories

Polisi Arusha wana mashine inayodai madeni RPC kasema “ina akili kuliko binadamu” (+video)

on

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limeanza operesheni ya kukamata magari ambayo yanadaiwa faini kwa kutumia mashine maalumu huku Kamanda wa Jeshi hilo Mkoa wa Arusha Jonathan Shanna akitoa angalizo kwa wanaouza madawa ya kulevya.

MWEKEZAJI ALALAMIKIWA NA WANANCHI CHUNYA, DC AINGILIA KATI

Soma na hizi

Tupia Comments