Top Stories

BALAA: Duma alivyoingia kwenye gari la Watalii Serengeti (+video)

on

Watalii wawili wa Marekani walipatwa na mshtuko na kujua maisha yao yamefika mwisho baada ya Mnyama aina ya Duma kuingia kwenye gari lao mbugani Serengeti Tanzania na wao kumshtukia akiwa ameshaingia kupitia dirisha la nyuma.

Mmoja wa Watalii hao amesema baada ya kugundua wana ‘mgeni’ ilibidi wawe watulivu, hawakuwa na nafasi ya kuondoka au kutoroka kwani ingekua hatari zaidi bali walikaa kwa utulivu mkubwa bila kelele mpaka Mnyama huyo alipoondoka, tazama hii video hapa chini kutazama

VIDEO: MWANAMKE ANAEDAIWA KUWA MCHAWI NA MWENYE UWEZO WA KUTABIRI KIFO CHA MTU NA KIKATOKEA

Soma na hizi

Tupia Comments