Videos

Video: Diamond Platnumz ameshirikishwa na msanii kutoka Zimbabwe kwenye ‘Watora Mari’

on

Bongofleva inazidi kupata rotation kubwa barani Afrika, Mtu wangu nimekuwekea hii video hapa Diamond Platnumz ameshirikishwa na msanii kutoka Zimbabwe ni mdundo uliofanywa na Producer Laizer kutoka WCB wenye jina Watora Mari, usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataziona hapa.

Official Video ya Jah Prayzah ft Diamond Platnumz

ULIMISSHII YA VIGEZO VYA KUJIUNGA NA LEBEL YA WCB YA DIAMOND PLATNUMZ ITAZAME HIIVIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments