Wengi wamepokea na kutoa zawadi zao siku ya VALENTINE, siku ya wapendanao imepita lakini wapendanao wanaendelea kupeana zawadi mpaka leo ambapo ni zamu ya mastaa wa muziki kutoka Uganda Jose kampatia mke wake Range Rover na kuandika mistari yake baada ya kuambatanisha na picha na kwa msisitizo ‘unastahili yote kwenye maisha yako na upendo mkubwa’
“My two Babies #Ready for a sunny day Ride# Love is in the Air#New wheels for Danny#You deserve all in life. More love#Valen-times every year. Show some love“– @jchameleone
Bebe Cool yeye aliweka picha ya funguo wa gari aina ya Benz na kuandika “Happy valentine my love ZUENA SSALI and a small gift just to keep u smiling today @zuenak“– @BebeCoolUG
Happy valentine my love ZUENA SSALI and a small gift just to keep u smiling today @zuenakpic.twitter.com/1fXbpahraV
— Bebe Cool (@BebeCoolUG) February 14, 2015
A photo posted by JOSE CHAMELEONE (@jchameleone) on
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook