AyoTV

Jionee mwenyewe mashindano ya magari Bagamoyo 2017 ! (video)

on

Ni vitu vya nyumbani ambavyo mara nyingi hatuvioni sana kwenye TV zetu na ndio maana AyoTV na millardayo.com zimekuletea ujionee mashindano ya magari yaliyofanyika Bagamoyo Pwani May 20 2017 ambapo fainali ni May 21 2017 na AyoTVitakuletea kila kitu.

VIDEO: Tazama kwenye hii video hapa chini kujionea Wabongo walivyovaa kizamani kwenye Party ya Sallam

Soma na hizi

Tupia Comments