AyoTV

VIDEO: ‘Nitawashangaa wanaomshangaa Waziri Mwijage’ -Lema

on

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ‘CHADEMA’, May 30, 2017 alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma na kuchangia Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo alisema Serikali imeshindwa kutoa tafsiri sahihi ya Tanzania ya Viwanda.

MAAJABU: Hamjui Mwanaume miaka mitatu lakini kapata mimba 

Soma na hizi

Tupia Comments