Video Mpya

VideoMPYA: Karibu kuitazma ‘Tunapiga bao’ ya Simorix The General, Nandy, Shettah wahusishwa

on

Leo September 17, 2019 Kutoka Australia namsogeza kwako Mtanzania anaeishi huko Simorix The General akiwa amefanya cover ya wimbo Shettah ‘Hatufanani’ ila yeye kaipa jina ‘Tunapiga bao’, beats imetengenezwa na Kimambo na Director wa video ni Daniele Cernera wa Australia.

Beat aliyotumia Simorix ndio beat iliyotumia Staa wa Bongoleva Nandy pamoja na Shettah.

Usiache kuacha comment yako hapa ili Simorix The General akipita aone umeupokeaje wimbo wake.

FULL HD VIDEO: HARMONIZE ALIVYOMCHEZESHA MAGUFULI KWANGWARU, JAMAA ALIELETA FUJO

Soma na hizi

Tupia Comments