AyoTV

VIDEO: Magoli ya Azam FC vs Mafunzo FC 1-2 Mapinduzi CUP 2015

on

Hii ni January 7 2016 kutoka kombe la Mapinduzi 2016 linaloendelea Zanzibar ambapo Azam FC inayofundishwa na kocha Stewart Hall ilivunja rekodi yake yenyewe kwa kutolewa katika michuano ya kombe hili kwa mara ya kwanza katika hatua ya makundi toka waanze kushiriki michuano, Azam FC walikubali kipigo cha goli 2-1 kutoka Mafunzo FC ya Zanzibar, tazama ilivyokua kwenye hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments