AyoTV

Video za magoli ya Yanga na Simba walivyomaliza kwa ushindi mzunguuko wa kwanza wa Ligi ..

on

Weekend hii hakuna michezo ya Ligi Kuu bali ni Kombe la FA mtu wangu, kila timu inahangahika kuwania nafasi ya kusonga mbele, kwani ni mtoano, tukiachana na hayo mtu wangu naomba nikukumbushe kwa video za magoli ya ushindi wa michezo ya mwisho ya Yanga na Simba walivyomaliza kwa ushindi mzunguuko wa kwanza wa Ligi. Simba iliwafunga JKT Ruvu 2-0, wakati Yanga waliibuka na ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Majimaji FC, Hizi ndio video zenyewe mtu wangu

Yanga Vs Majimaji FC

Video ya magoli ya Simba Vs JKT Ruvu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments