Duniani

PICHA & VIDEO: Couple tisa zakushangaza, zilizovunja rekodi duniani.

on

Ni kazi yangu kukuletea stori mbalimbali ambazo zinatrend duniani mtu wangu na nyingine zitakuwa zakushangaza, mfano ni hii ya Leo August 27 2016 nakusogezea stori ya couple tisa zilizochukua headlines duniani ambazo nisingependa zikupite mtu wangu.

Couple ya kwanza inatokea Afrika nchini Somalia ya Ahmed Mohan Red Dore mwenye miaka 112 mwenye wanawake wake 5 na watoto 13 aliefunga ndoa ya kimila na binti  Safia Abdullah mwenye umri wa miaka 17.

Binti huyo kumfurahia mme wake huyo kwa madai yakuwa alimsubiri kwa mda mrefu mpaka kufikia kumuoa na hapo hapo mzee huyo ambae tayari ana  wajukuu wenye umri sawa na binti huyu.

mzee

Picha mzee huyu mwenye miaka 112 na binti aliemuoa mwenye miaka 17 kama mke wake wa sita.

2. Couple yawaliodumu kwa mda mrefu zaidi ndani ya ndoa zaidi ya miaka 80

a96867_a537_9-longest-married

3. Couple ya wanandoa wadogo zaidi duniani,binti wa miaka 9 kufunga ndoa na mvulana wa miaka 7,watoto hawa walikuwa wagonjwa wa kansa ya damu na walikuwa wakipendana sana ndoto yao ilikuwa wafunge ndoa kwa siku walizobakiza kuishi duniani.

watoto

4. Mwanaume huyu alieamua kufunga ndoa na mchumba ake aliefariki kabla ya wao kuoana.

dead

5. Hii ndio couple ya watu warefu na wakubwa duniani

a96867_a537_8-largest-couple

6. Couple hii ya watu wafupi duniani.

a96867_a537_6-shortest-couple

Nimekusogezea video ya couple zote tisa mtu wangu unaweza kuzitazama hapa chini

HUKUONA VIDEO YA MAMBO YA KUFAHAMU KUTOKA KWA RC MAKONDA KWA WAISLAM DAR? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments