Habari za Mastaa

Good news: List ya Nyimbo zinazokwenda international inazidi kuongezeka Tanzania….

on

Wimbo kuchezwa kwenye kituo cha Kimataifa ni good news kwa wasanii, muziki wa Bongofleva unazidi kupata rotation kubwa Barani Afrika, March 8 2016 Trace TV imeanza kucheza wimbo wa Darassa ft Rich Mavoko   ‘Kama Utanipenda

Kama Utanipenda‘ imezichukua headlines tena baada ya video hiyo kuchezwa kwenye moja kati ya kituo kikubwa cha TV Africa  ‘Trace TV‘,  Video ya wimbo huu umefanyika nchini Tanzania chini ya Director Hanscana

huu ni ujumbe aliopost Director Hanscana baada ya Video ya ‘Kama Utanipenda’ kuchezwa kwenye Trace TV

neww

hanscana_’s/o to @tracenigeria to premiere #kamautanipenda kwa upande wa tv za kimataifathank you so much @tracenigeria .Na ntazidi kukaza mpaka mwisho tutakutana tu huko huko .@darassacmg ft @richmavoko #kama_utanipenda #kamautanipendaGUSA LINK KWENYE BIO YANGU KUITAZAMA

Unaweza kuitazama hapa Video ya Darassa ft Rich Mavoko ‘Kama Utanipenda’…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments