Habari za Mastaa

Video 10 za Bongo zilizoachiwa July 2016 ilibidi uwe umeshazitazama

on

Bongo fleva imetake-over kitambo, mabibi na mabwana zifuatazo ni video mpya za bongo zilizotoka mwezi July 2016 ambazo kiukweli ilibidi uwe umeshazitazama mpaka sasa hivi, kila mmoja anajituma kwa nafasi yake… sio mbaya ukiacha na comment kwa chochote utachokipenda

Diamond Platnumz ameachia video yake toka July 12 2016 aliwashikirika Psquare kutoka Nigeria mpaka sasa ina 2,555,547 viewers

Joh Makini ameachia video ya ngoma yake hii ya Perfect Combo”  toka July 14 2016 na mpaka sasa ina watazamaji 377,303.

Jux ameachia ngoma yake yaWivu‘ toka July 15 2016 na mpaka sasa ina imetazamwa na watu 564,632 .

Darasa ameachia hii video yake ya’ Too Much‘ toka July 15 2016 na mpaka sasa ina 290,580 viewers

Harmonize pia amedondosha video ya ngoma yake ya Matatizo” July 4 2016 na mpaka sasa ina 1,760,697 viewers.

Professa Jay nae kuachia video ya ngoma yake July  2016 aliomshirikisha Sholo Mwamba ‘Kazi Kazi’ na mpaka sasa ina 85,111 viewers.

Nikki wa Pili kaachia video ya ngoma yake ‘Sweet MangiJuly 28 2016 aliomshirikisha chin bees na mpaka sasa ina watazamaji 31,934.

Roma nae kutoka na video ya wimbo wake ‘Kaa tayari July 13 2014 aliomshirikisha Jos Mtambo & Darasa

Makomando nao wameachia ngoma yao ya ‘WanachezajeJuly 18 2016 mpaka sasa ina  75,656 viewers

Nyingine ni hii ya Chindo Man ft. Fid Q, Wakazi & Dully Sykes inaitwa Torati ya mtaa na mpaka sasa ina views 6400.

https://www.youtube.com/watch?v=RdOuIW8Txts

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA JAMAA ALIVYOZIIGIZA SAUTI ZA LOWASSA, ANNE MAKINDA NA MBOWE? WAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments