Premier Bet
TMDA Ad

Video Mpya

VideoMpya: Jacquline Wolper kapewa shavu na Boy Kitila kwenye ‘Sawa’

on

Leo September 14, 2018 Kutana na Jacquline Wolper katika Video ya wimbo wa Boy Kitila unaoitwa ‘Sawa’ Producer ni Mr T Touch wakati Director wa Video ni Joowzeytz..Boy Kitila yupo chini ya Queen Lina Entertainment.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuacha comment yako ili Boy Kitila akipita aone umeipokeaje.

SURPRISE: Bondia Wakinyo alivyotinga Bungeni, Spika “mshikeni mpaka kwa Waziri Mkuu”

Soma na hizi

Tupia Comments