Video Mpya

VideoMpya: Baada ya kuhit na Nandy, Lomodo katuletea ‘Turambe’

on

Leo October 5, 2018 Kwa mara nyingine Lomodo baada ya kumshirikisha African Princess Nandy leo ametuletea Audio ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Turambe’ ambayo Producer ni Bonga na Lizer.

LIVE MAGAZETI: Musukuma Kortini, Adakwa na sehemu za siri za Binadamu tano, Rushwa ya ngono

Soma na hizi

Tupia Comments