Videos

VideoMPYA: Yemi Alade ft Mr Flavour ‘Kom Kom’ imeachiwa leo May 18 2016

on

May 18 2016 tv nyingi za Afrika zilipata nafasi ya kupiga au kuonesha video mpya ya mrembo kutoka Nigeria Yemi Alade akiwa kamshirikisha mkali mwingine kutoka Nigeria Mr Flavour, Yemi Alade ameachia video  mpya  inaitwa ‘Kom Kom’ enjoy dakika 3 na sekunde 55 za video hiyo.

KAMA ULIIKOSA HII YA MADEE KUZUNGUMZIA VIDEO YA CHURA KUFUNGIWA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments