Premier Bet
TMDA Ad

Video Mpya

VIDEOMPYA: Rayvany amerudi tena ”SIRI” Mpenzi wake Fayma Ndani

on

Baada ya tetesi za kuachana na mama mtoto wake  Fayma, Rayvanny Leo December 29 2017 anatualika kuitazama video ya Wimbo wake mpya ”SIRI‘ aliyomshirikisha Mkali mwingine kutoka kwenye midundo ya HipHop Nikki wa Pilli, Video Queen kwenye wimbo ni mpenzi wa Rayvanny

Usisahau kuniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama video hii>>>>Rayvanny ft Nikk wa Pili – SIRI (Official Video)

Hakuna mapenzi tena kati ya Rayvanny na Fahyma?

Soma na hizi

Tupia Comments