Mix

PICHA 13 kutoka mitaa ya Zanzibar baada ya upepo mkali…

on

Mvua zilizokuwa zinanyesha hivi karibuni Tanzania zimesababisha maafa makubwa hasa baada ya kutokea mafuriko ambayo yalileta uharibifu wa makazi na mali huku Zanzibar na Tanga zikiwa baadhi ya sehemu zilizoripotiwa kutokea mafuriko.

Ayo TV na millardayo.com imepiga kambi Visiwani Zanzibar na hapa zinakuleteaPICHA 13 za baadhi ya maeneo ambayo yameathirika baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali…hapa ni Nyarugusu katika Mkoa wa Mjini Magharibi na Wilaya ya Magharibi B.

EXCLUSIVE: Mashuhuda wasimulia tetemeko lilivyotokea Kagera usiku wa kuamkia leo

Soma na hizi

Tupia Comments