Michezo

Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ Mchezaji Bora wa msimu Simba SC

on

Mlinzi wa pembeni wa Simba Sports Club na Timu ya Taifa la Tanzania ‘Taifa Stars’Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ ameshinda Tuzo ya Mchezaji Boa wa Msimu 2016/17 kwenye kikosi cha Simba.

Simba SC imetoa taarifa hiyo kupitia account ya Facebook ikiandika: “Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu 2016/17 kwenye kikosi cha Simba.”

SportPesa wametenga Bilioni 4.9 kwa ajili ya Simba SC pekee… 

Soma na hizi

Tupia Comments