Mix

VIDEO: Vipaumbele vinne vilivyoombewa Bajeti Wizara ya Kilimo 2017/2018

on

May 19, 2017 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Charles Tizeba aliwasilisha Bungeni Dodoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 akiainisha maeneo manne ambayo yamepewa kipaumbele katika utekelezaji wake akiomba kutengewa Tsh. 267.8b kama Bajeti Kuu.

VIDEO: “Mnawachaji kodi kubwa wawekezaji, mnaua au mnajenga?” – Mwanjelwa

Soma na hizi

Tupia Comments