Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe amewaagiza wasimamizi wa Hifadhi za Wanyama Pori mkoani Kagera kuhakikisha wanawazuia raia wa kawaida kuingia katika hifadhi hizo na kama watakutwa basi watumishi hao watafukuzwa kazi.
Video hii ina kila kitu na unaweza kutazama kwa kubonyeza Play…
Mikoa 9 ya Tanzania iliyotajwa kuchukua hatua kukabiliana na Ebola