Video Mpya

VideoMPYA: Mr Blue amemshirikisha Rich Mavoko kwenye ‘Hatutaki kesi’

on

Kutoka Bongoflevani leo September 19, 2019 namsogeza Staa wa muda wote MR Blue ambaye ametuletea kichupa kipya kabisa akiwa amemshirikisha Rich Mavoko, ‘Hatutaki kesi’, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama

“MKUU WA MKOA CHUNGA MKOA WAKO, ZIARA ZETU KWENU NI DILI”- WAZIRI MKUU

Soma na hizi

Tupia Comments