Video Mpya

VIDEOMPYA: Nyingine ya kuitazama kutoka Bongoflevani ”Inauma”

on

Mdundo mpya kutoka kwenye studio za B-Record chini ya Producer Bugalee, kwa watu wangu wanaopenda kuzitazama video mpya za bongofleva hii ni mpya kutoa kwa Goddie ”Inauma” Usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na mkali huyu ataiona hapa

Ishu ya Vanessa kupata mpenzi mpya WCB, Jux ameyazungumza haya

Soma na hizi

Tupia Comments