AyoTV

VIDEO: Miaka 15 ya Q Chilla kwenye game ya Bongofleva

on

Mkali kutoka Bongoflevani Qchilla usiku wa Kuamkia May 1 2017 alikuwa anatimiza miaka 15 kwenye game ya Bongofleva ambapo aliwakutanisha mashabiki wake na Mastaa mbalimbali kwenye stage moja DSM.

Ulimiss Asley na Khadija Kopa walivyoizindua ‘Usiitie Doa’ DSM itazame hii video hapa chini…

 

Soma na hizi

Tupia Comments