Top Stories

Meya wa CHADEMA aliefukuza Madiwani azungumza “zilipotea Bilioni 18” (+video)

on

Meya wa Manispaa ya Bukoba Chief Kalumuna ambaye awamu iliyopita aliamua kwenda Mahakamani na kuwafukuza Madiwani watano wa CCM baada ya kuwepo mgogoro katika Baraza la Madiwani na kusababisha Bilioni 18 walizopewa kwa ajili ya iradi ya maendeleo kurudishwa.

Meya huyo ameongea na AyoTvV na millardayo.com na kueleza hali ilivyokuwa na hali ilivyo kwa sasa kimaendeleo na kisiasa.

ZITTO KABWE KUHUSU UTEUZI WA CAG MPYA, ADAI NI WA KUFICHA WIZI, UFISADI

Soma na hizi

Tupia Comments