AyoTV

Video: Kilivyohappen kwenye Miaka mitano ya Mkubwa na Wanae

on

July 16 2016 Mkubwa na Wanae walikuwa wakisherekea miaka mitano tangu kuanzishwa kwa Kituo hicho, kituo ambacho kinalea na kukuza vibaji vya muziki, Ayo TV na millardayo.com ilikua eneo la tukio ambapo Yamoto Band walikuwa wakisherekea miaka mitatu siku hiyo.

Mtu wangu kama hukupata time yakusogea escape one July 16 2016 nimekuwekea Full video hapa chini.

ULIMISS HII KAZI YA YAMOTO BAND CLUB BILICANAS JUMAPILI YA MAY 8 2016 ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments