Habari za Mastaa

LYRIC VIDEO: Kutoka Legendury Beatz ya Nigeria na Vanessa Mdee hii inaitwa ‘Duasi’

on

Zimepita siku nne tangu Vanessa Mdee atukaribishe kuitazama video ya wimbo alioshirikishwa na Mr. Orezi kutoka Nigeria. Leo March 21 Vanessa anatukaribisha tena kuitazama hii video ya maandishi (Lyric Video) ya wimbo alioshirikishwa na label ya Legendury Beatz ya Nigeria ambao unaitwa ‘Duasi’.

Unaweza kuitazama hapa chini pia usiache kuniandikia comment yako hapa ili Vanessa akisoma ajue Watanzania wameipokea vipi  hii>>>

VideoMPYA: Orezi na Vanessa Mdee ‘Just like that’

Soma na hizi

Tupia Comments