Habari za Mastaa

Hapa ni Lagos Nigeria, hii ni ya Vanessa Mdee kwenye stage !

on

image-06-04-15-12-37-5Jinala staa wa kike anayefanya poa kwenye bongofleva sasa hivi, Vanessa Mdee aka Vee Money limeendelea kuonekana kwenye headlines za majukwaa makubwa ambapo weekend iliyopita ilikua ni zamu ya Lagos Nigeria ambako alishinda tuzo mwaka 2014 kama msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki.

V aliukubali mwaliko mwingine wa kwenda Nigeria ikiwa ni mara yake ya pili kupanda kwenye stage Nigeria kwenye hii show ya juzi April 4 2015 na wakali wengine kama Iyanya na Burna Boy kwenye stage moja ya Gidi Cultural Festival.

image-06-04-15-12-37-1

image-06-04-15-12-37-2

image-06-04-15-12-37-3

image-06-04-15-12-37-5

image-06-04-15-12-37-6

image-06-04-15-12-37-7

image-06-04-15-12-37-8

image-06-04-15-12-37-9 (1)

image-06-04-15-12-37-9

image-06-04-15-12-37-10

image-06-04-15-12-37-11

image-06-04-15-12-37-16

image-06-04-15-12-37-17

image-06-04-15-12-37-18Umependa nini kwenye muonekano wa V?

Soma na hizi

Tupia Comments