AyoTV

VideoFUPI: Baada ya post zao kuingia kwenye headlines Vanessa na Shilole wameyaongea haya..

on

Headlines zilianza kuandikwa siku ya May 17 2016 baada ya mastaa wawili kutoka kiwanda cha bongoflevani kurushiana maneno katika post zao walizozipost kwenye mtandao wa Instagram, Stori ilianzia kwenye Picha, lakini this time kila moja ameongea.

Baada ya Shilole na Vanessa Mdee kurushiana Maneno kupitia Picha zao kila mmoja kwa time yake amezungumza na Ayo TV nakufunguka haya..

Vanessa Mdee alifunguka  maneno haya>>>Nadhani nimeshasema kila kitu ambacho kinahitaji kusemwa kama umesoma post yangu utakuwa umeshaelewa kama hujasoma sawa sihitaji kurudia kitu’

Shilole na yeye kuyafunguka haya>>>’acha nimnyooshe kapanic kuona Say my name imetoka na mimi kuzinguliwa sitaki kuna mahali kaenda kuniongelea vibaya na asitamani kuonana na Shishi atatamani kuadithia vibao nilivyokuwa natoa somewhere’

Unaweza kubonyeza play hapa chini kuipata story yote

ULIIKOSA HII YA IDRISS SULTAN, DOGO PEPE, CHIPUKEEZY, CAPTAIN KHALID NA COMEDIAN WENGINE WALIVYOVUNJA MBAVU ZA WATU? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments