AyoTV

VIDEO: Rose Tweve kuhusu matarajio ya Bajeti Kuu 2017/18

on

Kubwa linaloendelea Bungeni Dodoma ni Wabunge kuendelea kuchangia mapendekezo yao katika Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo kati ya waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Iringa Rose Tweve ambaye anatueleza mapendekezo yaliyotarajiwa katika Bajeti hiyo..

VIDEO: Waziri Makamba kuhusu mikoa iliyoathiriwa na ukame 

Soma na hizi

Tupia Comments