Vituko/ Comedy

VIDEO: Baba anapotaka kutazama soka alafu Mama anapitapita tu

on

Asilimia kubwa ya Wanaume duniani ni wafatiliaji sana wa soka lakini zogo huwa linakuja pale nyumbani Mama anapopitapita kwa shughuli zake wakati Mzee anataka kutazama mpira bila bugdha…….. huyu Mchekeshaji hapa chini kasambaa sana na hii video yake

Pale Mume anapokua busy kuangalia mpira alafu Wife anapitapita na kusumbua ???

A post shared by millard ayo (@millardayo) on

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa, bonyeza play hapa chini kufahamu kila kitu

VIDEO: Tazama Jamaa anaeigilizia sauti ya Mstaafu Jakaya Kikwete mpaka Watu wakacheka…. bonyeza play hapa chini

UNAZITAKA ZOTE BREAKING NEWS NA MATUKIO YA HABARI, PICHA NA VIDEO ??? ungana na Reporter wako Millard Ayo kwenye mitandao yote ya kijamii na utapata yote yanayonifikia saa 24… BONYEZA HAPA >>> Twitter Facebook Instagram

Soma na hizi

Tupia Comments