Video Mpya

VideoMpya: Kutoka kwa Producer Zest hii ni ya Traibo inaitwa ‘Naloli’

on

Leo June 10, 2018 nakusogezea wimbo mpya kutoka kwa Traibo unaitwa ‘Naloli’ ni mkono wake Producer Zest. Neno ‘Naloli’ ni lugha ya Kibantu akimaanisha ‘Ni kweli’... Usisahau kuweka comment yako ili ajue umepokeaje ‘Naloli’

Millardayo kazungumza: Ni kweli alitafuta Kiki kwa kujizushia KUFA?

Soma na hizi

Tupia Comments