Breaking News

“Sikuja kutafuta Mchumba, nimekuja kufanya kazi za Watanzania” – Rais Magufuli

on

Leo September 7, 2017 Rais Magufuli amekabidhiwa ripoti za uchunguzi wa biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam ambapo alikabidhiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Ripoti hizo zimetokana na uchunguzi uliofanywa na Kamati mbili zilizoundwa na Bunge ambapo baada ya kukamilisha uchunguzi zilikabidhi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana September 6, 2017 katika viwanja vya Bunge, Dodoma.

ULIPITWA? Rais Magufuli ataka Prof. Muhongo ajiuzulu

Soma na hizi

Tupia Comments