Top Stories

Jinsi Kikosi cha Simba SC kilivyopokelewa kwa msafara wa mashabiki Bukoba Mjini leo (Pichaz+)

on

Timu ya Simba Sports Club asubuhi ya leo January 19, 2018 imewasili mkoani Kagera kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara dhidi ya wenyeji wake Kagera Sugar wiki ijayo.

Timu hiyo imepokelewa vyema na mashabiki wao katika uwanja wa ndege Bukoba huku wakiongozana nao mpaka hotelini walipofikia.

Mechi hiyo inatachezwa katika uwanja wa Kaitaba uliopo katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera siku ya Jumatatu January  22,  

BREAKING: Simba SC wameita waandishi wa habari leo

“Nilimuona sio mchezaji mzuri kumbe ameambiwa amerogwa”-Kocha Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments