Habari za Mastaa

Ni kweli TID anataka kugombea UBUNGE 2020?

on

Mwimbaji mkongwe wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed maarufu kama ‘TID’ amezichukua headlines baada ya kueleza malengo yake makubwa na mabadiliko anayotaka kufanya miaka ijayo hususani kuingia kwenye siasa mwaka 2020.

Ayo TV na millardayo.com zimeweza kunasa sauti ya LEGEND huyu pale alipoelezea kuhusu kugombea Ubunge mwaka 2020 na ameongea haya.

Meli ya kifahari kutoka OMAN ilivyoingia ZANZIBAR

Soma na hizi

Tupia Comments