AyoTV

VIDEO: Vigezo vya kujiunga na record label ya WCB ya Diamond Platnumz

on

Inawezekana kukawa na vijana wengi wanaopenda au wana ndoto siku moja ya kupata nafasi ya kusainiwa katika record label ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz, AyoTV ilimtafuta Diamond na kumuuliza ni vigezo vipi anavitumia kuwasaini wasanii wapya kwenye label yake.

“Msanii yoyote yule utakayemuona kasainiwa WCB ujue kapitia na kasikilizwa na watu wengi sana, usifikirie nitamsikiliza mimi tu nikaamua apite wakati anaweza kuja mwingine hakaona hafai, huwezi kulazimisha kutokana huwezi kujua kaona nini, mtu mpaka kapitishwa ujue ana akili, mjanja anajua kutunga”

Kama uliikosa Show ya Diamond ya One Africa Music Festival iliyofanyika New York Marekani

Soma na hizi

Tupia Comments