AyoTV

Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana …

on

Mtu wangu wa nguvu kama kawaida naendelea kukusogezea kila kitu kinachonifikia kutoka Zanzibar katika michuano ya Kombe la Mapinduzi. Usiku wa January 5 ulipigwa mchezo wa nne wa Kundi B kwa kuzikutanisha timu za Yanga dhidi ya Azam FC katika dimba la Amaan. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusoogezee video ya magoli ya mchezo huo ambao ulimalizka kwa sare ya goli 1-1 na unatajwa kuwa ulikuwa wa kukamiana.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments