Habari za Mastaa

VideoMPYA: Ikiwa ni ‘Birthday’ ya Barnaba amekuja na zawadi ya ‘Zodoa’

on

Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa ya msanii kutokea kwenye Industry ya Bongo Fleva Barnaba Classic, basi ametubariki na joint mpya inayoitwa ‘Zodoa’ burudika na ngoma hiyo kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: MTOTO BALAAH!! ANA UWEZO WA AJABU WA UIMBAJI COVERS RUBY, JOEL LWAGA ANAWAKUBALI.

Soma na hizi

Tupia Comments