AyoTV

VIDEO: Furaha ya Waandishi kwa Juma Kaseja baada ya kuokoa penati

on

Taifa Stars kwa sasa inajivunia kwa kiasi kikubwa uwezo na umahiri wa mlindao mlango wao Juma Kaseja katika suala zima la kucheza mikwajua ya penati, Kaseja amekuwa na historia na rekodi nzuri katika kucheza mikwaju ya penati.

Septemba 8 2019 uwanja wa Taifa Dar es Salaam alifaniwa kuokoa penati moja kati ya tatu ambazi mbili zilitolewa nje na kuisaidia Taifa Stars kuingia makundi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia, kwa ushindi wa penati 3-0 (aggregate 2-2), baada ya hapo waandishi wa habari walishindwa kujizuia furaha yaoa na kuamua kumbeba juu juu Juma Kaseja baada ya press Conference.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments